F1 · Kesho ya Élise
Élise gripped the letter. Tomorrow she would have to smile at that man again. As if nothing had happened!Élise aliikaza barua mkononi. Kesho angelazimika kumtabasamia tena yule mtu. Kana kwamba hakuna kilichotokea!Élise aliikaza barua mkononi. Aliwaza kwamba siku iliyofuata angelazimika kumtabasamia mtu huyo licha ya kilichotokea.A huhifadhi kero ya papo hapo. B huongeza ‘aliwaza’ na kubadili kejeli kuwa maelezo. Ukweli unaofanana haumaanishi umbali uleule wa usimulizi.